Theofili na Heladi
Mandhari
Theofili na Heladi (waliishi karne ya 3) ni wafiadini Wakristo wa Libya. Kisha kuraruliwa, walitupwa motoni[1][2].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |