Nenda kwa yaliyomo

Julianus na Basilisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Julianus na Basilisa walikuwa mume na mke Wakristo wa Antinoe (Misri) walioishi bila kufanya tendo la ndoa hadi walipoanzisha monasteri mbili na hatimaye kuuawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian na Maksimian.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.