Alonio
Mandhari
Alonio (aliishi katika karne ya 4 na ya 5) alikuwa mmonaki katika jangwa la Misri.
Baadhi ya semi zake zimeripotiwa katika Apophthegmata Patrum (Misemo ya Mababa wa Jangwani)[1].
Misemo hiyo ilikusanywa taratibu ili kudumisha hekima yao nyofu.[2]
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 4 Juni[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa jangwani
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Harmless, William (2000). "Remembering Poemen Remembering: The Desert Fathers and the Spirituality of Memory". Church History. 15. American Society of Church History. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-18.
{{cite journal}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ Kuna pia tafsiri ya Kiswahili: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0.
- ↑ https://catholicsaints.info/saint-alonio/
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |