Giyorgis wa Segla
Mandhari
Giyorgis wa Segla (au wa Gesecha; 1365 hivi - 1 Julai 1425 hivi) ni kati ya Wakristo maarufu wa Ethiopia.
Alikuwa mmonaki, mtunzi wa tenzi na mwandishi wa vitabu kwa Kigeez aliyeathiri sana Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia, hasa upande wa liturujia na kalenda yake.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Julai.
Maandishi
[hariri | hariri chanzo]- Book of Hours [for the Daytime] (Sa'atat)[1][2]
- Book of Hymns
- Book of Mystery (Masehafa mestir, finished on 21 June 1424)
- Book of Thanks (also known as Book of Light)
- Horologium of the Night Hours[1]
- Hymns of Praise
- Praises of the Cross[3]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 Endangered Archives Programme https://eap.bl.uk/project/EAP286/search. Iliwekwa mnamo 4 Machi 2017.
{{cite web}}
: Missing or empty|title=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Steve Delamarter; Getatchew Haile (31 Januari 2013). Catalogue of the Ethiopic Manuscript Imaging Project: Codices 106–200 and Magic Scrolls 135–284. Casemate Publishers. uk. 130. ISBN 978-0-227-17384-8.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Haile, Getatchew (18 Aprili 2013). "Praises of the Cross, Wǝddase Mäsqäl, by Abba Giyorgis of Gasǝč̣č̣a". Aethiopica. 14 (1). doi:10.15460/aethiopica.14.1.414.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Hastings, Adrian (5 Januari 1995). "The Policies of Zara Ya'iqob". The Church in Africa, 1450-1950. Clarendon Press. ku. 34–37. ISBN 978-0-19-152055-6.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - Lourié, Basil (2016). "An Archaic Jewish-Christian Liturgical Calendar in Abba Giyorgis of Sägla". Scrinium. 12 (1): 73–83. doi:10.1163/18177565-00121p07. ISSN 1817-7530.
{{cite journal}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Lourié, Basil. Авва Георгий из Саглы.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help) - —. "Julianism". 3: 308–310.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help); Unknown parameter|encyclopedia=
ignored (help) - Bausi, A. "Məśṭir: Mäṣḥafä məśṭir". 3: 941–944.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help); Unknown parameter|encyclopedia=
ignored (help) - Colin, G. "Giyorgis of Sägla". 2: 812.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help); Unknown parameter|encyclopedia=
ignored (help) - Tadesse Tamrat (1972). Church and State in Ethiopia, 1270–1527. Oxford: Clarendon Press. ISBN 9780198216711.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
Jamii:
- Pages using the JsonConfig extension
- CS1 errors: missing title
- CS1 errors: bare URL
- CS1 maint: date auto-translated
- CS1 errors: invalid parameter value
- CS1 errors: missing periodical
- CS1 uses Kirusi-language script (ru)
- CS1 errors: unsupported parameter
- Mbegu za Wakristo
- Waliozaliwa 1365
- Waliofariki 1425
- Waandishi wa Ethiopia
- Watakatifu wa Ethiopia