Petro II wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Petro II wa Aleksandria (alifariki 27 Februari 381) kuanzia mwaka 373 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 21 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Kama mtangulizi wake, Athanasi Mkuu, alipinga sana Uario na kwa sababu hiyo alifukuzwa na serikali akarudi Aleksandria kwa matakwa ya umati.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petros II (373–381). Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-08.
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.