Feliche Mwafrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wat. Nabore na Feliche walivyochorwa na Orazio Samacchini, Bologna, Italia.

Feliche Mwafrika alikuwa askari Mkristo kutoka Mauretania (katika Algeria ya leo).

Tarehe 12 Julai 303 BK, huko Lodi Vecchio (Lombardia) aliuawa pamoja na Waberberi wenzake Vikta na Nabore[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na wengineo kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa siku ya kifodini chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.