Abrahamu wa Faiyum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha takatifu ya askofu Abrahamu.

Abrahamu wa Faiyum (182910 Juni 1914) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Faiyum na Giza, maarufu kama Rafiki wa fukara[1].

Mwaka 1964, Sinodi ya Kanisa la Kikopti ilimtangaza mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abrahamu wa Faiyum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.