Gabriel Abdel El-Metgaly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Gabrieli Abdel El-Metgaly (30 Machi 1918 - 3 Septemba 1978) alikuwa padri wa Kanisa la Wakopti aliyeuawa na Waislamu wenye itikadi kali nyumbani mwake.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel Abdel El-Metgaly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.