Antonio Vallesio
Mandhari
Antonio Vallesio, O. de M. (alifia dini Tunisi, 1293) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Liguria, Italia, ambaye alikwenda Tunisia pamoja na Matia Marko ili kuhubiri Injili, lakini alikamatwa na kuuawa kwa kupigwa mawe kwa ajili ya imani yake [1].
Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Aprili.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |