Viktorini, Vikta, Nisefori, Klaudiani, Dioskoro, Serapioni na Papias

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Viktorini, Vikta, Nisefori, Klaudiani, Dioskoro, Serapioni na Papias (walifariki Diospolis, leo Hu, 283) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Numerian.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Februari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.