Oktaviani wa Karthago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oktaviani wa Karthago (alifariki 484) alikuwa shemasi Mkatoliki wa mji huo wa Tunisia ya leo.

Aliuawa katika dhuluma ya mfalme wa Wavandali, Huneriki, aliyekuwa mfuasi wa Ario.

Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake ya wenzake wengi sana huadhimishwa tarehe 22 Machi[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.