Ramon Nonat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Ramon Nonat akilishwa na malaika alivyochorwa na Eugenio Caxés, 1630.

Ramon Nonat[1], O. de M. (Portell, 1204Ngome ya Cardona, 31 Agosti 1240) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Catalonia, Hispania.

Kadiri ya karama ya shirika lake alikwenda mara mbili Algeria kukomboa watumwa akajitoa kutekwa mwenyewe hadi malipo yatakapokamilika[2].

Papa Aleksanda VII alimtangaza mtakatifu mwaka 1657.

Sikukuu yake huadhimshwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. His nickname (Latin: Nonnatus, "not born") refers to his birth by Caesarean section, his mother having died while giving birth to him.
  2. Saint Raymond Nonnatus. Order of the Blessed Virgin Mary of Mercy. Jalada kutoka ya awali juu ya 8 January 2013. Iliwekwa mnamo 7 January 2013.
  3. "Martyrologium Romanum" (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Elizabeth Hallam (ed.), "Saints: Who They Are and How They Help You" (New York: Simon & Schuster, 1994), p. 33.
  • "Lives of the Saints, For Every Day of the Year, edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., June 1, 1955, p. 344

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramon Nonat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.