Catalonia


Catalonia ni jumuiya ya kujitegemea nchini Hispania upande wa kaskazini-mashariki mwa Rasi ya Iberia, iliyochagua kuwa taifa huru, lakini serikali kuu ya Hispania imezuia kabisa kwa msingi wa katiba ya nchi.
Imepakana na Ufaransa na Andorra kwa upande wa kaskazini, Bahari ya Mediteranea kwa upande wa mashariki na Valencia kwa upande wa kusini. Lugha rasmi ni Kikatalani, Kihispania, na lugha ya Aranese ya Occitan.
Catalonia ina ya mikoa minne: Barcelona, Girona, Lleida, na Tarragona.
Mji mkuu na mkubwa zaidi ni Barcelona, manispaa ya pili ya Hispania na msingi wa eneo la mijini saba zaidi katika Umoja wa Ulaya.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Catalonia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |