Barcelona
Mandhari
Barcelona ni mji uliopo nchini Hispania. Ni mji mkuu wa jimbo la Catalonia, ambayo ni sehemu tajiri zaidi ya Hispania.
Barcelona ipo katika pwani ya Bahari ya Mediteranea. Mji upo kati ya Mto Llobregat na Besòs, na kusini upo katika milima ya Pirenei.
Leo hii kuna takriban watu milioni 1.6 wanaoishi katika mji huo (sensa ya 2006). Kati ya milioni 3.1 ya watu wanaishi katika Maeneo ya Metropolitan na milioni 5.3 wapo Mijini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Barcelona.com The Guide to Barcelona
- Barcelona Travel Guide Ilihifadhiwa 6 Agosti 2019 kwenye Wayback Machine.
- Barcelona City Photos Ilihifadhiwa 12 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
- Ciao Barcellona Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Barcelona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |