Felisi wa Thibiuca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Felisi wa Thibiuca (alifariki 303 hivi) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Thibiuca (leo Tubzak nchini Tunisia).

Aliuawa mjini Karthago pamoja na Audactus, Fortunatus, Januarius na Septimus katika dhuluma ya kaisari Diokletian wa Dola la Roma, kwa kukataa amri ya kuchoma vitabu vitakatifu vya Ukristo, akisema afadhali ajichome. Kwa hiyo alichomwa kwa upanga.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Julai[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.