Nenda kwa yaliyomo

Wafiadini wa Afrika Kaskazini (30 Oktoba)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Afrika Kaskazini (30 Oktoba) ni Wakristo 100-200 waliofia imani ya Kikristo huko Afrika Kaskazini katika dhuluma za kwanza za Dola la Roma.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini, ingawa majina yao hayajulikani.

Sikukuu yao ya pamoja huadhimishwa tarehe 30 Oktoba[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.