Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria (356)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria (356) (walifariki 356) walikuwa Wakristo wengi wa Misri, ambao walifia imani sahihi kanisani wakati wa liturujia kutokana na dhuluma ya Waario dhidi yao.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Januari[1],

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.