Afrodisi wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Afrodisi wa Aleksandria alikuwa padri wa Misri aliyeuawa kwa ajili ya imani yake pamoja na waumini 30.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini, ila hatajwi tena katika Martyrologium Romanum kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Aprili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.