Dasya wa Tanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dasya wa Tanda ni kati ya Wakristo wa Misri aliyeteswa sana na hatimaye kukatwa kichwa kwa imani yake katika karne ya 3[1].

Hayajulikani mengine kuhusu historia ya askari huyo, ila tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lives of Saints :: Tout 2". www.copticchurch.net. Retrieved 17 March 2018.
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dasya wa Tanda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.