George El Mozahem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

George El Mozahem (940 - 26 Juni 969) alikuwa Mkristo wa Misri aliyeuawa kwa kuacha Uislamu na kubatizwa.

Kanisa la Wakopti linamheshimu kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George El Mozahem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.