Mikaeli II wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mikaeli II wa Aleksandria (alifariki 17 Aprili 851) kuanzia mwaka 849 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 53 wa Kanisa la Kikopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.