Yakobo wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yakobo wa Aleksandria (karne ya 8 - 21 Februari 830) kuanzia mwaka 819 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 50 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakopti kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.