Nenda kwa yaliyomo

Wafiadini wa Thebe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Thebe (walifariki karne ya 3) ni idadi kubwa ya Wakristo, hasa wamonaki, waliouawa katika jangwa la Misri karibu na Thebe, wakati wa dhuluma ya makaisari Decius na Valerian, ambapo maadui kwa ujanja walikuwa wanabuni dhidi yao, waliotamani kuuawa kwa upanga kwa ajili ya Kristo, mateso mbalimbali ya kuchelewesha kifo, wakilenga kuua roho zao kuliko miili tu [1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Julai[2][3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.