Tekle Haymanot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tekle Haymanot au Takla Haymanot (kwa Kige'ez ተክለ ሃይማኖት takla hāymānōt, kwa Kiamhara tekle hāymānōt, "Mti wa Imani"; 1215 hivi - 1313 hivi) alikuwa mmonaki wa Ethiopia aliyeanzisha monasteri muhimu katika mkoa wake asili, Shewa.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Waorthodoksi wa Mashariki lakini pia na Wakatoliki[1]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Agosti, lakini katika Kalenda ya Kiethiopia tarehe 24 ya kila mwezi ni kwa heshima ya Tekle Haymanot.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Tekle Haymanot "is the only Ethiopian saint celebrated officially in foreign churches such as Rome and Egypt." Tesfaye Gebre Mariam, "A Structural Analysis of Gädlä Täklä Haymanot", African Languages and Cultures, 10 (1997), p. 184
  2. Donald N. Levine, Wax and Gold: Tradition and Innovation in Ethiopia Culture (Chicago: University Press, 1972), p. 73

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tekle Haymanot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.