Eufrasia wa Thebe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eufrasia akibeba mawe makubwa kwa toba.
Kutoka kitabu cha mwaka 1878, Little Pictorial Lives of the Saints

Eufrasia wa Thebe (380 - 13 Machi 410) alikuwa bikira Mkristo ambaye, baada ya kuacha maisha ya familia yake ya kisharifu huko Konstantinopoli, aliishi peke yake jangwani Misri kwa unyenyekevu, ufukara na utiifu[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.

Sikukuu yake inaadhimishwa hasa tarehe 24 Julai[2] au 25 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.