Yusto El-Antony
Mandhari
Yusto El-Antony (1910-1976) alikuwa mmonaki Mkopti. [1] Anaheshimiwa na Kanisa la Kikopti kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Desemba.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ""Father Yostos Of Saint Anthony", Pi Monakhos, St Shenouda Monastery. February 8, 2016". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-25. Iliwekwa mnamo 2020-02-25.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |