Nenda kwa yaliyomo

Emiliani, Lasi, Didimo, Poemi, Amoni na Prima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emiliani, Lasi, Didimo, Poemi, Amoni na Prima pamojana wenzao 38 ni kati ya Wakristo wa Membresa (katika Tunisia ya leo) waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Februari[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.