Abrahamu wa Minuf
Mandhari
Abrahamu wa Minuf (aliishi karne ya 4) ni kati ya Wakristo wamonaki wa Misri, mwanafunzi wa Pakomi.
Baada ya miaka 23 aliruhusiwa kuishi kama wakaapweke pangoni aliotoka kwa ajili ya kupokea ekaristi tu, kila baada ya miaka 2-3, hadi alipofariki miaka 16 baadaye[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu[2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Abraham of Minuf, Saint Retrieved on 5 March 2018.
- ↑ Basset, Synaxarion, 1904, p. 377
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
- The Coptic Encyclopedia / Aziz S. Atiya editor in chief. — Macmillan Publishing Company, 1991. — Vol. I-VIII. — ISBN 0-02-897025-X.
- "Claremont Coptic Encyclopedia". Claremont Colleges Digital Library.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |