Wafiadini wa Numidia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Numidia ni jina la jumla kwa Wakristo wengi wa eneo la Algeria ya leo ambao mwanzoni mwa karne ya 4 waliteswa na hatimaye kufia dini yao kwa kuwa walikataa kutoa vitabu vitakatifu kwa serikali ya Dola la Roma kama walivyoagizwa na kaisari Diokletian.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 11 Februari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]