Kasiani wa Autun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kasiani wa Autun (alifariki 350 hivi) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kwa miaka 20 hivi[1].

Inasemekana alizaliwa Aleksandria, Misri[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Agosti[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/65490
  2. Benedictine Monks, Book of the Saints (Kessinger Publishing, 2003), p. 59.
  3. Cassian of Autun.
  4. Martyrologium Romanum
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.