Abba Panteleoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Monasteri ya Abba Pantelewon.

Abba Penteleoni (alifariki 522) alikuwa mmonaki aliyefanya umisionari katika Ethiopia ya leo akaanzisha monasteri katika kilele cha kilima Mai Qoho, kaskazini magharibi kwa Aksum, jimbo la Tigray[1].

Ni kati ya kundi la Watakatifu Tisa wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia wanaosemekana kukimbilia nchi hiyo kutoka sehemu mbalimbali za Dola la Roma[2] kutokana na dhuluma zilizofuata Mtaguso wa Kalsedonia (451). Wengine ni Abba Aftsé, Abba 'Aléf, Abba Gärima, Abba Guba, Abba Liqanos, Abba Aregawi, Abba Sehma, Abba Yäm'ata (Yemata). Wote walikuwa wamonaki wasomi waliohuisha Ukristo wa Ethiopia. Wanasemekana kuwa ndio watafsiri wa Agano Jipya kwenda lugha ya Ge'ez.[3]

Mwaka 470 au 480[4] alifika Aksum, mji mkuu wa ufalme maarufu[5][6][7]

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://dacb.org/stories/ethiopia/pantalewon/
  2. The bishop Afonso Mendes, who had been the Roman Catholic Patriarch of Ethiopia under Emperor Susenyos, cited the "Chronicle of Axum" as saying about the Nine Saints, "In the days of Amiamid [i.e., Ella Amida] many monks came from Rum, who fill'd all the Empire; Nine of them stay'd in Tigre, and each of them erected a Church of his own Name." Cited in Tellez, The Travels of the Jesuits in Ethiopia, 1710 (LaVergue: Kessinger, 2010), pp. 89f.
  3. Shinn, David H.; Ofcansky Bowen, Thomas P. (2013). Historical Dictionary of Ethiopia. United Kingdom: Scarecrow Press Inc. uk. 118. 
  4. Cited in Tellez, Travels, pp. 92–94
  5. The Feast of Abba Gerima Retrieved on 6 Feb 2018
  6. "Ethiopian Orthodox Church History, Language". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-14. Iliwekwa mnamo 2019-12-16. 
  7. David W. Phillipson, Ancient Churches of Ethiopia (New Haven: Yale University Press, 2009), p. 42

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • John Anthony McGuckin (mhariri). The Encyclopedia of Eastern Orthodox Christianity, volume 1. Wiley-Blackwell. uk. 1193. 
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.