Nenda kwa yaliyomo

Saturnini, Klaudi na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saturnini, Klaudi na wenzao Primo, Flaviani, Zotiko, Asteri, Karo na Saturi ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliofia dini yao.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Oktoba.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.