Vikta wa Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Vikta wa Afrika (kwa Kilatini: "Victor"; alifariki 250 hivi) alikuwa Mkristo aliyefia imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Augustino wa Hippo alitoa hotuba juu yake.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Machi[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vikta wa Afrika kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.