Nenda kwa yaliyomo

Ireus na Atanasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ireus na Atanasi ni kati ya Wakristo wa Ethiopia waliofia dini yao.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 30 Oktoba.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.