Pishoi
Mandhari
Pishoi (Shansa, 320 - Milima ya Ansena, 15 Julai 417) alikuwa mmonaki wa Misri.
Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 19 Juni na 15 Julai.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa jangwani
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Coptic Orthodox Synaxarium (Book of Saints)
- Bishoy from Coptic.org
- Bishoy from copticchurch.net
- Bishoy from stmaryscopticorthodox.ca Ilihifadhiwa 28 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |