Nenda kwa yaliyomo

Anubu mmonaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anubu mmonaki (karne ya 4 - karne ya 5) ni kati ya Wakristo wa Misri walioishi vizuri imani yao.

Ni kati ya mababu wa jangwani ambao misemo yao imetunzwa katika maandishi pamoja na mingi ya mdogo wake Poemen [1].

Kwa kuwa hayajulikani mengi kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Juni [2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Kuna pia tafsiri ya Kiswahili: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000ISBN 0-264-66350-0
  2. https://catholicsaints.info/saint-anoub-of-skete/
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.