Poemen
Mandhari

Poemen (kwa Kigiriki: Ποιμήν, Poimen, yaani "Mchungaji") (340–450 hivi) alikuwa mmonaki wa Misri maarufu kwa misemo yake[1].
Kati ya Mababu wa jangwani ndiye anayeongoza kwa mbali kwa wingi (1/7) wa misemo iliyoripotiwa katika Apophthegmata Patrum (Misemo ya Mababa wa Jangwani)[2].
Misemo hiyo ilikusanywa taratibu ili kudumisha hekima yao nyofu. Kuna pia tafsiri ya Kiswahili: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
- Mababu wa jangwani
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92752
- ↑ Harmless, William (2000). "Remembering Poemen Remembering: The Desert Fathers and the Spirituality of Memory". Church History. 15. American Society of Church History. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-18.
{{cite journal}}: Unknown parameter|=ignored (help); Unknown parameter|dead-url=ignored (|url-status=suggested) (help) - ↑ Martyrologium Romanum
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |