Gereoni na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Gereoni.

Gereoni na wenzake Kasius, Gregori Maurus, Florenti, Inosenti, Konstantino, Viktori na wengineo (walifariki Cologne, Ujerumani, 304) ni Wakristo waliofia dini yao kwa kukatwa kichwa.

Inasimuliwa kwamba Gereoni alikuwa askari[1] wa Kikosi cha Thebe kutoka Misri.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Oktoba[2].

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. ""St. Gereon", Köln Tourismus". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-02. Iliwekwa mnamo 2020-02-21. 
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.