Wafiadini wa Shiheet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Shiheet (walifariki 444) ni kati ya Wakristo bora wa Misri waliofia dini yao kwa kuuawa na wazushi.

Walikuwa wamonaki 47 na walei 2.

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini[1].

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 21 Januari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Hugh G. Evelyn White, The Monasteries of the Wâdi ’n Natrûn, Part II: The Histories of the Monasteries of Nitria and of Scetis (New York: Metropolitan Museum of Art, 1932; repr. Arno Press, 1973), pp. 164–167.
  2. The martyrs are commemorated in the Copto-Arabic Synaxarion on the 26th day of the month of Tobi (corresponding to January 21 in the Julian calendar). In the liturgy, they are referred to as "the forty-nine martyrs, the elders of Shiheet". The main source for the martyrdom of the Forty-Nine is the account in the Synaxarium itself. There is also a short notice of the burial and afterlife of the martyrs, the Coptic Depositio XLIX martyrum (Interment of the Forty-Nine Martyrs).
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.