Felisi wa Susa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Felisi wa Hadrumetum)

Felisi wa Susa (alifariki 434 hivi) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Hadrumetum (leo Susa nchini Tunisia).

Aliuawa kutokana na dhuluma ya Genseriki, mfalme wa Wavandali, ambaye alikuwa mfuasi wa Ario.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Februari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Jones, Terry H (19 February 2017). "Saint Felix of Hadrumetum". Saints.SQPN.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 February 2011. Iliwekwa mnamo 16 June 2017.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.