Paulo Mnyofu
Mandhari

Paulo Mnyofu (225 - 339 hivi) alikuwa mmonaki huko Misri kusini chini ya Antoni Abati aliyemjaribu kwa kila namna na kuthibitisha utiifu wake wa ajabu[1][2].
Alijaliwa uwezo wa pekee juu ya pepo[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Waanglikana kama mtakatifu[4].
Msemo wake
[hariri | hariri chanzo]Msemo wake mrefu katika tafsiri ya Kiswahili unapatikana ndani ya kitabu: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
- Mababu wa jangwani
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Online, Catholic. "St. Paul the Simple - Saints & Angels - Catholic Online". Catholic Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/44140
- ↑ "CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: St. Paul the Simple". www.newadvent.org. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
- ↑ Yohane Climacus wrote: "Paul the Simple was a clear example for us, for he was the rule and type of blessed simplicity.""Venerable Paul the Simple of Egypt". oca.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ https://catholicsaints.info/saint-paul-the-simple/
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |