Eulogi wa Aleksandria
Mandhari

Eulogi wa Aleksandria (kwa Kigiriki: Εὐλόγιος I; alifariki 13 Septemba 608) alikuwa Patriarki wa Kiorthodoksi wa Aleksandria (Misri) tangu mwaka 580 hadi 608.
Mwenye asili ya Syria, aliishi huko kama mmonaki padri.
Baada ya kuchaguliwa kuwa Patriarki, kwa elimu yake kubwa alipinga mafundisho ya Wamonofisiti na wengineo[1] akiungana na Papa Gregori I wa Roma [2] ambaye alimuandikia barua nyingi, akisema, "Si mbali nami aliye kitu kimoja nami" [3][4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake au 13 Februari au 13 Juni[5][6].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
- Mababu wa Kanisa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Besides the above works and a commentary against various sects of Monophysites (Severians, Theodosians, Cainites and Acephali) he left eleven discourses in defence of Pope Leo I and the Council of Chalcedon, also a work against the Agnoetae, submitted by him before publication to Pope Gregory I, who after some observations authorized it unchanged. With exception of one sermon and a few fragments, all the writings of Eulogius have perished.
- ↑ "Eulogius (581–608)". Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-07.
- ↑ E.g. Gregory the Great. Epistles. Juz. la VIII.30. Iliwekwa mnamo 27 Okt 2012.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/57030
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ https://catholicsaints.info/saint-eulogius-of-alexandria/
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Encyclopedia: St. Eulogius of Alexandria (Kiingereza)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |