Felisi wa Abbir
Mandhari
Felisi wa Abbir (alifariki 482) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Abbir (leo nchini Tunisia) kwa muda wa miaka 40.
Alifariki pamoja na askofu Sipriani wa Unizibira kutokana na dhuluma ya Huneriki, mfalme wa Wavandali, ambaye alikuwa mfuasi wa Ario na alihamisha Wakatoliki 4,966 (au 4,976) wakaishi katika jangwa la Sahara kwa lengo la kuwafanya wafe kwa njaa. Baadhi waliuawa na askari njiani[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Oktoba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |