Nenda kwa yaliyomo

Yusta na Eredina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yusta na Eredina (walifariki karne ya 3 au ya 4) walikuwa wanawake Wakristo ambao waliuawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma, labda huko Afrika Kaskazini, ingawa wanaheshimiwa hasa katika kisiwa cha Sardegna, leo nchini Italia[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 14 Mei[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.