Nenda kwa yaliyomo

Rustiko wa Lambesa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rustiko wa Lambesa (alifariki 259) alikuwa Mkristo aliyeuawa katika mji huo (leo nchini Algeria) wakati wa dhuluma ya kaisari Valerian.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Agosti.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.