Febronia wa Akhmim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Febronia wa Akhmim (alifariki 9 Oktoba 749) alikuwa bikira wa Syria aliyehamia Misri ili kuwa mmonaki.

Baada ya kuwa abesi wa monasteri yake[1][2], kwa kukubali kukatwa kichwa aliokoa wenzake kutoka hatari ya kubakwa na kuuawa na Waislamu[1][3].

Kanisa la Kikopti linamheshimu kama mtakatifu bikira mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Febronia wa Akhmim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.