Afesi na wenzake
Mandhari
Afesi na wenzake Aleksanda, Amfamoni, Apoloni, Arioni, Dionusi, Dioskoro, Elafa, Eunuko, Fabiani, Felisi, Fisosi, Gurdino, Hinus, Kapitolini, Kapitulini, Kresenti, Melei, Nika, Nisia, Panus, Panubri, Plebri, Pleosi, Theoma, Tuboni na Venusti ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao.
Kwa kuwa yanajulikana majina yao tu, si mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Juni[1]..
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |