Fransisko, Yakobo na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fransisko, Yakobo na wenzao Sancho, Idefonsi, Yohane na Denis, O. de M. (walifariki 1437) walikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki waliokamatwa na Waislamu karibu na Valencia, Hispania wakapelekwa Moroko ambako waliteswa na hatimaye kusulubiwa kwa ajili ya imani yao.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.