Petro, Suksesi na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Petro, Suksesi na wenzao Basiani, Primitivi, Tuno, Puplikano na wengine kumi na nane walikuwa Wakristo wa Afrika Kaskazini ambao waliuawa kwa imani yao.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini. Kwa kuwa habari zao hazijitoshelezi, hawatajwi tena katika Martyrologium Romanum.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Desemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.