Nenda kwa yaliyomo

Fuskuli na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fuskuli na wenzake Donasiani, Jermani, Leti, Mansueti na Presidi (waliofariki karne ya 5) ni maaskofu wa Afrika Kaskazini waliofia imani ya Kanisa Katoliki kwa agizo la mfalme wa Wavandali Huneriki aliyekuwa Mwario.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ya pamoja huadhimishwa tarehe 6 Septemba[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.